Leviticus 7:25-26

25Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa Bwana kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. 26 aPopote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama.
Copyright information for SwhKC